Sadc yampongeza Rais Samia, yatoa pole kwa familia za waliopoteza maisha
Dar es Salaam. Mkutano mkuu maalumu wa wakuu wa nchi na Serikali wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) umempongeza Rais Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine waliochaguliwa katika chaguzi za Septemba na Oktoba 2025. Vilevile, Sadc imetoa salamu za rambirambi kwa familia za watu waliopoteza maisha kwenye maandamano ya Septemba…