Hemed aapishwa Makamu wa Pili wa Rais akitaja mwelekeo

Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Hemed ameteuliwa kushika wadhifa huo kwa mara ya pili katika Awamu ya Nane ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Mara ya kwanza aliteuliwa kushika wadhifa huo baada ya Uchaguzi…

Read More

Dk Tulia ajitoa kwenye kinyang’anyiro akiacha maswali

Dodoma. Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametangaza kujiondoa katika kinyang’anyiro cha kugombea tena nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi ambayo alikuwa akiitetea. Hata hivyo, juhudi za kumpata Dk Tulia Ackson kwa njia ya simu hazikufanikiwa, kwani hakupokea simu yake licha ya kupigiwa mara kadhaa. Lakini, msaidizi wake binafsi,…

Read More

Hekaheka hospitali, polisi kusaka ndugu

Dar es Salaam. Hali ya maisha ikiendelea kurejea kawaida, kumekuwa na hekaheka za wananchi kwenye vituo vya polisi na hospitali wakiwatafuta ndugu na jamaa zao ama waliofariki au ambao hawajulikani walipo tangu Oktoba 29, 2025 kulipotokea maandamano yaliyoambatana na vurugu. Kwa mujibu wa ndugu na jamaa za watu hao, pia wanapata ugumu wa kupata miili…

Read More

Mtoto wa muuguzi asimulia alivyokutana na waganga wa jadi -2

Moshi. Jana katika simulizi ya mauaji ya muuguzi mstaafu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Patricia Ibreck (66) tuliwaletea ushahidi wa mashahidi mbalimbali walioelezea taarifa za kutoweka kwake zilivyojulikana na hatimaye mwili wake kupatikana. Mauaji yalifanywa na mganga wa jadi, Omary Mahmoud Rang’ambo, ambaye alimuua mwaka 2021 kwa kumnywesha dawa zisizojulikana kisha kumzika nyuma ya…

Read More

Polisi yawasaka 10 wakihusishwa na vurugu za Oktoba 29

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limesema linaendelea na msako mkali kuwatafuta wanaotuhumiwa kupanga, kuratibu na kutekeleza matukio ya vurugu, uporaji wa mali na uvunjifu wa amani uliotokea Oktoba 29, 2025. Kwa mujibu wa polisi, Oktoba 29 kulitokea matukio ya vurugu, uporaji wa mali, uvunjifu wa amani katika majiji ya Dar es Salaam, Arusha, Mwanza…

Read More