China, Urusi zampongeza Samia, zaahidi ushirikiano
Dar es Salaam. Rais wa China, Xi Jinping amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kushinda na kuapishwa kuiongoza Tanzania, akiahidi ushirikiano zaidi miongoni mwa mataifa hayo mawili.Mbali na salamu za Jinping, pia Rais Samia alipokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin uliowasilishwa kwake na Sergei Kiriyenko, Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, juzi…