Baada ya mechi saba ZPL, JKU yamfyeka Kocha Bausi
TIMU ya JKU, imesitisha mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Seif Bausi Nassor kwa makubaliano ya pande mbili, ikiwa ni baada ya kuiongoza katika mechi saba za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) msimu huu 2025-2026. Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Novemba 7, 2025 na Katibu Mkuu wa JKU, Khatib Shadhil Khatibu, imesema: “Jeshi la Kujenga Uchumi…