Taha kuongeza mauzo ya mbogamboga, matunda hadi Sh5 trilioni
Dodoma. Chama cha Wakulima wa Mbogamboga na Maua Tanzania (Taha) kimetangaza mpango wa kuongeza fursa za biashara ya mboga na matunda kutoka mauzo ya Dola za Marekani 600 milioni (Sh1.47 trilioni) hadi kufikia dola 2 bilioni (Sh4.93 trilioni) kwa kipindi cha miaka 10 kuanzia mwaka 2025 hadi 2035. Chama hicho kimesema kilimo cha mbogamboga na matunda…