Zanzibar yatoa punguzo la asilimia 80 tozo ya bidhaa za chakula, sababu yatajwa
Unguja. Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) limetangaza kutoa punguzo la asilimia 80 ya tozo ya aridhio (Wharfage) kwa bidhaa zote za chakula zinazoingia nchini kupitia bandari zote zinazohudumiwa na shirika hilo na eneo la ngalawa (Dhowshed) linalosimamiwa na Zanzibar Multipurpose Terminal (ZMT). Uamuzi huo umeidhinishwa na ZPC ikiwa ni sehemu ya jitihada za Serikali ya…