Watu wazima wanaweza kupata kisukari aina ya 1
Dar es Salaam. Kisukari aina ya kwanza hutokea kwa watoto mpaka umri wa kati miaka 25 mpaka 30, lakini hivi karibuni kisukari aina ya kwanza, kimeanza kujitokeza hata kwa watu wazima na mara nyingi hutambuliwa kimakosa kama kisukari aina ya pili. Kisukari aina ya kwanza hutokea pale mfumo wa kinga ya mwili unaposhambulia seli za…