Pamba yazitaka pointi tatu kwa Singida, watatu kukosekana
KESHO Jumamosi Novemba 8, 2025, Pamba Jiji itaikaribisha Singida Black Stars katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuanzia saa 10:00 jioni, huku wenyeji wakizitaka alama tatu za nyumbani. Hii itakuwa mechi ya sita kwa Pamba Jiji msimu huu, ambapo tano zilizopita imeshinda mbili, sare mbili na kupoteza…