MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI KESI YA MADAI DHIDI YA VIONGOZI CHADEMA
MAHAKAMA Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Novemba 28,2025 imetupilia mbali kesi ya madai ya kuidharau mahakama iliyokuwa ikiwakabili viongozi wa Chadema akiwemo Makamu Mwenyekiti Bara, John Heche na Katibu Mkuu, John Mnyika. Kesi hiyo ilifunguliwa na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Zanzibar, Said Issa Mohamed, pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa…