Wananchi wakwama kupata huduma Kibamba, Magomeni
Dar es Salaam. Upatikanaji wa huduma kwa wananchi katika ofisi za serikali za mitaa za Tarafa ya Kibamba na Magomeni umekwama, baada ya ofisi hizo kuchomwa moto wakati wa vurugu na maandamano ya Oktoba 29, 2025. Tukio hilo pia, limekwamisha shughuli za urasimishaji wa ardhi na hatimaye ugawaji wa hatimiliki kwa wananchi, kutokana na kuungua…