IGP, maofisa wengine wa Polisi kortini kwa kumshikilia Heche
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetoa hati ya wito wa kufika mahakamani hapo kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake watano, kuhusiana na sakata la kushikiliwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, John Heche. Mahakama hiyo imetoa wito huo kufuatia shauri…