Zubeir achaguliwa tena Spika Baraza la Wawakilishi
Unguja. Zubeir Ali Maulid amechaguliwa tena kuwa Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kwa kipindi cha tatu. Zubeir amechaguliwa leo Alhamisi Novemba 6, 2025 katika mkutano wa kwanza wa Baraza la 11 la Wawakilishi Zanzibar, ambapo hiki kitakuwa kipindi cha tatu tangu alipochaguliwa kwa mara ya kwanza mwaka 2015. Spika Zubeir ambaye anatoka kwenye Chama…