Burudani Inapaa, Cheza Super Heli Ujishindie Samsung A26 Mpya – Global Publishers

Meridianbet, kinara wa michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni nchini Tanzania, imezindua promosheni ya kipekee inayowapa wachezaji nafasi ya kubeba zawadi za kibabe kupitia mchezo maarufu wa Super Heli. Hii ni fursa adhimu kwa wapenzi wa burudani mtandaoni kujishindia simu nne za kisasa za Samsung A26, huku wakifurahia mchezo unaochanganya msisimko, ustadi na bahati. Kila…

Read More

MAUMIVU, HOFU: Tunatokaje kwenye haya?

Dar es Salaam. Matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu yameshuhudiwa na kila mmoja wetu. Wapo waliopoteza miasha, kupata ulemavu wa kudumu, waliopoteza mali na baadhi ya miundombonu kuharibiwa. Swali linalobaki sasa tunatokaje? Umuhimu wa jawabu la swali hili unatokana na ukweli kwamba, hakuna uwezekano wa kurudisha siku nyuma ili kuzuia kilichotokea. Hivyo, tufanyeje…

Read More

Cheza Super Heli Kujishindia Samsung A26 na Meridianbet

MERIDIANBET, jukwaa linaloongoza kwa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, linawapa wachezaji fursa ya kipekee ya kuingia kwenye burudani ya mchezo wa kasino mtandaoni wa Super Heli na kujishindia simu nne za kisasa za Samsung A26. Hii sio tu mchezo wa kufurahisha, bali ni nafasi ya kweli ya kubeba zawadi ya gharama kubwa bila juhudi za…

Read More

Jero Yako, Ushindi Wako Leo

KWA dau dogo tuu leo hii unaweza kubadilisha maisha yako kwani ODDS KUBWA zipo Meridianbet. Mechi nyingi za Europa leo zipo kwaajili yako. Unangoja nini?. Suka jamvi lako hapa. OGC Nice atakuwa mwenyeji wa Freiburg ya Ufaransa huku nafasi ya kuondoka na ushindi akipewa yoyote kwani Odds za kibabe zipo kwenye mechi hii. Je nani…

Read More

Hizi hapa ajira mpya bungeni, vigezo vyaanikwa

Dar es Salaam. Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetangaza nafasi za ajira katika kada tofauti likiwaalika Watanzania wenye sifa stahiki kutuma maombi yao. Lengo ni kuongeza nguvu kazi na kuboresha utendaji wa sekretarieti ya Bunge. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa jana Jumatano, Novemba 5, 2025 na Katibu wa Bunge, nafasi hizo zimeundwa kwa…

Read More

Sura mpya Bunge la 13 hizi hapa

Dodoma. Yametimia. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema ukikumbuka utabiri alioutoa aliyekuwa Spika wa Bunge la 12, Dk Tulia Ackson, kwamba wabunge wengi wasingerudi katika Bunge la 13, licha ya nia zao za kuendelea. Kauli hiyo sasa inajidhihirisha kupitia matokeo ya maamuzi ya wananchi pamoja na mchakato wa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambacho ndicho kilichokuwa…

Read More