Toa kupunguzwa kwa uzalishaji, au kufunga hatari ya ulimwengu kuwa ‘Joto la Joto’ – Maswala ya Ulimwenguni

Belém – Tazama kutoka Kituo cha Mkutano ambapo Mkutano wa COP30 unafanyika. Mikopo: Sergio Moraes/Cop30 Brazil Amazonia na Umar Manzoor Shah (Srinagar, India) Jumatano, Novemba 05, 2025 Huduma ya waandishi wa habari SRINAGAR, India, Novemba 5 (IPS) – Ulimwengu unapungua kwa hatari ya kufikia malengo ya makubaliano ya Paris, na uzalishaji wa gesi chafu ulimwenguni…

Read More

Mwenye asili ya Uganda ashinda umeya New York

New York. Jiji la New York limemchagua Zohran Kwame Mamdani (34), mzaliwa wa Kampala nchini Uganda, kuwa meya mpya wa jiji hilo, hatua inayoweka rekodi ya kihistoria katika medani za kisiasa na kijamii nchini Marekani, huku akimtahadharisha Rais wa nchi hiyo kupitia kwake kwa jambo lolote kabla ya kuwafikia wananchi wa eneo hilo. Mamdani alizaliwa…

Read More

Wakili Mwasipu afunguka yanayomkabili Heche

‎‎Dar es Salaam. Ikiwa ni takribani wiki mbili tangu Jeshi la Polisi limkamate John Heche ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Wakili wake, Hekima Mwasipu amesema kiongozi huyo anatuhumiwa kujihusisha na vitendo vya kigaidi, muda wowote atafikishwa mahakamani.‎ ‎Wakili Mwasipu amesema tuhuma za ugaidi zilizoibuliwa kwa mteja wake zinahusiana…

Read More

Uchaguzi mkuu ulivyositisha shughuli za Mahakama

Dar es Salaam. Vurugu zilizotokea kwenye baadhi ya maeneo nchini wakati wa uchaguzi mkuu, ziliathiri uendeshaji wa Mahakama ya Tanzania kwa kuwa ilishindwa kutekeleza majukumu yake na kuvuruga ratiba yake. Vurugu hizo ambazo zimeacha kumbukumbu mbaya ziliambatana na matukio mengine ikiwamo kuzimwa kwa mtandao nchini kote kwa muda wa siku sita tangu siku ya kupiga kura…

Read More

Walichokiona waangalizi wa kimataifa uchaguzi Tanzania

Dar es Salaam. Waangalizi wa uchaguzi wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29, 2025, wametoa mapendekezo ya kuboresha chaguzi zijazo, ikiwemo kufanya mageuzi ya mfumo wa uchaguzi ili kutoa haki na kukuza demokrasia nchini. Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi (SEOM) unaowakilisha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Umoja wa Ulaya (EU) ni miongoni mwa waangalizi…

Read More