Suluhisho halisi la mabadiliko ya hali ya hewa linaweza kuwa kupitia sheria za kimataifa – maswala ya ulimwengu

Picha ya UN/ICJ-CIJ/Frank Van Beek Maoni na Joan Russow (Victoria, British Columbia, Canada) Jumatano, Novemba 05, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Mkutano wa 30 wa “Mkutano wa Vyama” (COP30) kwa Mkutano wa Mfumo wa UN juu ya Mabadiliko ya Tabianchi (UNFCCC) utafanyika kutoka 6-21 Novemba 2025 huko Belém, Brazil. Itakusanya pamoja viongozi wa ulimwengu,…

Read More

Daladala 150 zaongezwa Mbezi-Mnazi Mmoja, Posta

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Serikali kutangaza kusitisha huduma za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi) jijini Dar es Salaam, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imetangaza kutoa vibali kwa daladala 150. Daladala hizi zitatoa huduma katika ruti za Mbezi -Posta, Mbezi-Mnazi Mmoja, Mbezi- Muhimbili na Mbezi- Mnazi Mmoja. Hatua hiyo inalenga kupunguza changamoto za…

Read More

Zungu kumvaa Dk Tulia uspika, wapinzani wajipanga

Dodoma. Joto la kuwania kiti cha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linazidi kupamba moto ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) huku mchuano mkali ukiwa ni kati ya viongozi wanaomaliza muda wao, Spika, Dk Tulia Ackson na Naibu Spika, Mussa Zungu. Wakati mchuano huo ukiwa ndani ya CCM, baadhi ya vyama vya…

Read More

Mkutano wa kwanza Baraza la 11 la Wawakilishi kuanza kesho

Unguja. Mkutano wa kwanza wa Baraza la 11 la Wawakilishi (BLW) Zanzibar unatarajiwa kuanza kesho Alhamisi, Novemba 6, 2025, ambapo wagombea wanne kutoka vyama vya CCM, UDP, ADC na NLD wanatarajiwa kuchuana kuwania nafasi ya Spika wa Baraza hilo atakayeliendesha kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Baraza limepokea majina manne kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar…

Read More

Kilio zaidi kwa walioharibiwa mali zao kwenye vurugu

Dar es Salaam. Huenda baadhi ya wamiliki wa mali zilizoharibiwa wakati wa maandamano wasipate fidia kutoka kampuni za bima baada ya kubainika kuwa, sera za kawaida za bima hazijumuishi matukio yanayosababishwa na shughuli za kisiasa. Mali hizo zilibaribiwa wakati wa maandamano yaliyofanyika Oktoba 29 mwaka huu yakilenga kupinga uchaguzi mkuu uliokuwa ukifanyika. Katika maandamano hayo,…

Read More

Tanzania yatangaza kurejesha shughuli za utalii

Dar es Salaam. Wizara ya Maliasili na Utalii, imewataka watalii waliokuwa wamepanga kutembelea Tanzania kuendelea na mipango ili waweze kufurahia vivutio vilivyopo bila ya kuwa na hofu yoyote.   Imetoa wito huo baada ya hali ya amani na utulivu kurejea, huku shughuli mbalimbali za kijamii zikifunguliwa na watu kuendelea na majukumu yao ya kila siku kama…

Read More

Azam FC yanogewa mapema CAF, Bosi atoa kauli ya kibabe

WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Azam FC wameanza kunogewa mapema baada ya timu hiyo kufuzu makundi kwa mara ya kwanza hatua ya makundina mmoja wa vigogo ametamba msimu huu hadi kieleweke CAF. Azam iliyoasisiwa 2004 ilitinga makundi CAF ikipangwa Kundi B sambamba na Wydad AC ya Morocco, Nairobi United ya…

Read More

Mzize apasuliwa goti, kuwakosa Simba, Waarabu

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize amefanyiwa upasuaji wa goti na anatarajia kuwa nje ya uwanja kwa wiki nane hadi kumi ambayo ni takribani miezi miwili huku akitarajiwa kuzikosa mechi kadhaa ikiwemo mbili za Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya Waarabu na Dabi ya Kariakoo. Mzize ambaye alikuwa kinara wa mabao kwa wachezaji…

Read More