CAF yaongeza timu za WAFCON
KAMATI Kuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) imeidhinisha kuongeza idadi ya timu zitakazoshiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) kutoka timu 12 hadi 16, kuanzia toleo lijalo litakalofanyika nchini Morocco kuanzia Machi 17, 2026 hadi Aprili 3, 2026. Kwa kuwa hatua ya kufuzu kwa toleo la mwaka 2026…