OUT LAUNCHES COMPETENCY-BASED DIGITAL SKILLS TRAINING FOR STEM TEACHERS

The Open University of Tanzania (OUT), under the UNESCO Chair in Teacher Education and Curriculum, has launched a new training module titled “Competency-Based Digital Skills Training for STEM Teachers.” The initiative aims to empower Science and Mathematics teachers with digital tools and innovative teaching approaches to enhance learning outcomes. Held online via Zoom on October…

Read More

Ni nini lazima ibadilike ikiwa mazungumzo ya hali ya hewa ya ulimwengu ni kutoa haki kwa Afrika – maswala ya ulimwengu

Katika eneo lenye ukame na kavu la Isiolo nchini Kenya, mpango mpya wa umwagiliaji unasaidia jamii kujifunza na kupitisha njia mpya na kupata njia mbadala ya utunzaji wa mifugo ili kubadilisha vyanzo vya mapato ili kujitegemea na ujasiri wa mara kwa mara. Mikopo: EU/Echo/Martin Karimi Maoni na Martha Bekele (Addis Ababa, Ethiopia / Abuja, Nigeria)…

Read More

WAGENI WAENDELEA KUMIMINIKA HIFADHI YA NGORONGORO

Na Mwandishi wetu, Ngorongoro. Wageni kutoka mataifa mbalimbali wanaotembelea eneo la Hifadhi ya Ngorongoro wameendelea kufanya shughuli za utalii kwa amani, usalama na utulivu na kufurahia vivutio mbalimbali vya utalii vilivyoko hifadhi ya Ngorongoro   Akizungumzia katika geti kuu la kuingia hifadhi ya Ngorongoro Afisa Uhifadhi Mkuu Idara ya huduma za Utalii na Masoko Ngorongoro Bw….

Read More

ZEC yateua wawakilishi wa viti maalumu, INEC mguu sawa

Unguja. Wakati Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) ikiteua wajumbe wa viti maalumu wa Baraza la Wawakilishi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) nayo inatarajiwa kutoa orodha hiyo wakati wowote kuanzia sasa. Tayari Rais Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewaita bungeni wabunge wateule kuanzia Novemba…

Read More