Wabunge wateule waitwa Dodoma, kumpata Spika mpya moto
Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyopewa na Katiba ya nchi, amewaita wabunge wateule wote jijini Dodoma kuanzia Novemba 8,2025. Taarifa iliyotolewa kwa umma na Katibu wa Bunge Barala Leonard, Tangazo la Rais la kuitisha Bunge lililotolewa kwenye Gazeti la Serikali toleo maalumu Na. 11 (Special Supplement) la tarehe 4 Novemba, 2025. Bunge la…