DKT AKWILAPO ATAKA MAENEO YA UMMA KULINDWA

Na Munir Shemweta, Mtwara Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo amezitaka taasisi za umma kuhakikisha zinalinda mipaka ya maeneo yake ili kuepuka uvamizi unaoweza kuzalisha migogoro ya ardhi nchini. Mhe Dkt Akwilapo ametoa rai hiyo mapema leo tarehe 27 Novemba 2025 mkoani Mtwara alipozungumza wakati wa kikao na uongozi…

Read More

MAHAFALI NDAKI YA MBEYA YAFANA

Tarehe 27 Novemba 2025, Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya kimesheherekea Sherehe ya Mahafali ya 24. Ikiwa ni siku muhimu ya kuwapongeza wahitimu wa Ndaki hiyo kwa juhudi na uwajibikaji kitaaluma na kusherehekea mafanikio kwa wanafunzi na watumishi kwa ujumla. Naye, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha alieleza juu ya maendeleo katika…

Read More

WAZIRI MCHENGERWA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA DAWA DUNIANI.

Na Mwandishi Wetu- Algeria Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na kufanya mazungumzo na wadau mbalimbali wa uzalishaji wa dawa na teknoloajia mbalimbali za afya ambapo wengi wao wameonesha shauku kubwa la kuwekeza nchini. Amekutana na wadau hao katika maonesho makubwa barani Afrika yanayofanyika Algiers Algeria baada ya kuhudhuria Mkutano wa Mawaziri kuhusu Uzalishaji…

Read More