Bei ya petroli Dar yapanda dizeli ikisalia vilevile
Dar es Salaam. Watuamiaji wa vyombo vitumiavyo petroli watalazimika kuongeza Sh32 kwa kila lita katika bajeti yao ya kupata nishati hiyo kuanzia leo, huku watumiaji wa dizeli na mafuta ya taa wakiendelea kutumia bei zao zilezile. Wanunuzi wa petroli kwa rejareja kwa mafuta yanayopita bandari ya Dar es Salaam wataongeza Sh32 katika kila lita ya…