Sio kinyonge, wamewagomea wageni kimtindo

SIO kauli ngeni kusikia baadhi ya wadau wa soka wakilalamika kwamba uwepo wa wachezaji wa kigeni unafifisha nafasi ya wazawa kwenye klabu mbalimbali hapa nchini. Kila klabu ina nafasi ya kikanuni kusajili wachezaji 12 wa kigeni, kama huna staa wa kigeni basi ni suala la mfuko wako au uamuzi wa chama lako. Wapo wageni ambao…

Read More

Kwenye Kolosseum ya Roma, viongozi wa imani wanakabiliwa na ulimwengu vitani – na kuthubutu kusema juu ya amani – maswala ya ulimwengu

Sherehe ya kufunga iliyofanyika dhidi ya uwanja wa nyuma wa magofu ya zamani Maoni na Katsuhiro Asagiri (Roma / Tokyo) Jumanne, Novemba 04, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Roma / Tokyo, Novemba 4 (IPS) – Katika kivuli cha Kolosse ya Roma – mara moja ukumbusho wa vurugu za kifalme – viongozi wa dini kutoka…

Read More

Siku sita za maumivu, mashaka, wasiwasi

Dar es Salaam. Maumivu, wasiwasi na mashaka, ndiyo uhalisia wa kile walichokipitia wakazi wa baadhi ya mikoa nchini ikiwemo Dar es Salaam, katika siku sita za matukio ya vurugu na uvunjifu wa amani yaliyosababisha mabadiliko ya mtindo wa maisha. Matukio hayo yaliyotokea kuanzia Jumatano, Oktoba 29, 2025, yalihusisha baadhi ya wapinzani wa Serikali, kuandamana na…

Read More