Tumia mbinu hizi ukipata kiwewe au mshtuko
Dar es Salaam. Trauma ‘kiwewe’ haitokani na kuumizwa kimwili pekee, bali pia na kile unachoshuhudia. “Kila nikisikia mlipuko wa tairi, moyo wangu hushtuka.” Kauli ya Amina Soud (26), Mkazi wa Buguruni mama wa watoto wawili, amesema tangu siku hiyo amekuwa akihisi hofu kubwa kila anaposikia mlio wa tairi au fataki. “Nilikuwa sokoni siku hiyo. Ghafla…