Kimya chetu si kusaliti wajibu wetu

Tanzania ipo katika kipindi kisicho na mfano katika historia yake ya kisiasa. Tunapotazama nyuma uchaguzi wa mwaka 2025, matukio yaliyotokea na maisha yaliyobadilika, tunajikuta tukitafakari ukurasa mgumu uliogeuka sehemu muhimu ya simulizi la taifa letu. Katika kila kipindi cha uchaguzi, vyombo vya habari vimekuwa mstari wa mbele vikielimisha wananchi, vikihakikisha kuna uwiano wa madaraka, vikidumisha…

Read More

Morocco haendi Morocco, ni zamu ya Gamondi

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtangaza Kocha Miguel Gamondi kuwa kaimu kocha mkuu wa timu ya taifa (Taifa Stars), akichukua nafasi ya  Hemed Suleiman ‘Morocco’. TFF imetangaza mabadiliko hayo baada ya kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba na kocha Morocco, ambaye alikabidhiwa jukumu la kuiongoza Stars, kufuatia kuondoka kwa kocha Adel Amrouche raia wa Algeria. Taarifa…

Read More

Ligi Kuu Bara, Championship kurejea Novemba 8

Ligi Kuu Tanzania Bara itarejea Jumamosi, Novemba 8, 2025 baada ya kusimama kwa muda hivi karibuni, huku wadau mbalimbali wakichekelea. Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na ile ya Championship zilisimama kwa muda katika kipindi cha Uchaguzi wa Rais, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kusimamishwa kwa Ligi Kuu kulisababisha kutochezwa kwa…

Read More

VIDEO: Fuatilia hatua kwa hatua upigaji kura Tanzania

Dar/mikoani. Shughuli ya upigaji kura katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania kuwachagua madiwani, wabunge na Rais inaendelea huku hali ya utulivu ikitawala. Hatua kwa hatua upigaji kura Tanzania Kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), vituo vilipaswa kufunguliwa saa 1:00 asubuhi na vitafungwa saa 10:00 jioni ya leo Jumatano, Oktoba 29, 2025. Laurent…

Read More

TRA United kumrudisha Senzo Bongo

WALE TRA United ni kama wako siriazi sana na kama hufahamu ni kwamba wako kwenye hatua za mwisho  kumrudisha nchini bosi aliyewahi kufanya kazi bora na klabu za Simba na Yanga. Inaelezwa kwamba TRA United imekuwa katika msako wa kutafuta Ofisa Mtendaji Mkuu mpya, na hesabu zimetua kumrudisha nchini Senzo Mazingiza. Mwanaspoti linafahamu kwamba mabosi…

Read More

Kimya chetu si kusaliti wajibu wetu: Ujumbe kwa wasomaji wetu

Tanzania ipo katika kipindi kisicho na mfano katika historia yake ya kisiasa. Tunapotazama nyuma uchaguzi wa mwaka 2025, matukio yaliyotokea na maisha yaliyobadilika, tunajikuta tukitafakari ukurasa mgumu uliogeuka sehemu muhimu ya simulizi la taifa letu. Katika kila kipindi cha uchaguzi, vyombo vya habari vimekuwa mstari wa mbelevikielimisha wananchi, vikihakikisha kuna uwiano wa madaraka, vikidumisha uwajibikaji…

Read More

Karibu wanawake milioni 224 bado hawapati mipango ya familia – maswala ya ulimwengu

Matumizi yaliyoongezeka yanaonyesha mafanikio makubwa ya kiafya ambayo yameruhusu mamilioni ya vijana kuzuia ujauzito usiotarajiwa na uchaguzi wa mazoezi juu ya hatima zao, lakini UNFPA Alisema kuwa “kwa wengi sana, haki ya msingi ya kibinadamu ya kuchagua ikiwa watoto wanaendelea kudhoofishwa.” ‘Uzazi wa mpango huokoa maisha’ Kutokuwepo kwa uzazi wa mpango kunasababisha kuongezeka kwa ujauzito…

Read More