Wagonjwa kisukari wanavyopitia ubaguzi, unyanyapaa

Russia. Katika siku ya kisukari hivi karibuni,  pamoja na kampeni ya magonjwa yasiyoambukiza iliyoanza tarehe 12-19 Novemba, moja ya tatizo lililozungumzwa kimataifa ni tatizo la unyanyapaa na ubaguzi kwa watu wanaoishi na ugonjwa wa kisukari. Watu wanaoishi na kisukari mara nyingi hukutana na unyanyapaa yaani hukumu hasi za kijamii, mitazamo hasi, dhana potofu na ubaguzi,…

Read More

WAFANYAKAZI WA NYUMBANI MWANZA WAPATIWA ELIMU YA KUTAMBUA HAKI NA WAJIBU WAO

::::::: SHIRIKA la Kazi Duniani (ILO),WoteSawa kwa kushirikiana na Chama cha Wafanyakazi wa Nyumbani,Hifadhi,Hotelini,Huduma za Jamii na Ushauri (CHODAWU),limewakutanisha Wafanyakazi wa nyumbani takribani 100 Mkoani Mwanza kwa lengo la kuwapatia maarifa ya kuwasaidia kutambua haki zao na kuboresha mazingira yao sehemu za kazi kupitia Mradi wa Kuboresha Utambuzi na Mazingira ya Kazi kwa Wafanyakazi Nyumbani…

Read More

WHO: Ukata unavyoathiri vita dhidi ya kifua kikuu

Kifua kikuu  bado ni moja ya magonjwa hatari zaidi ya kuambukiza duniani, kikiua zaidi ya watu milioni 1.2 na kuwaathiri takribani watu milioni 10.7 mwaka uliopita, kwa mujibu wa  ripoti mpya ya kimataifa ya kifua kikuu 2025 iliotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO). Kwa mujibu wa ripoti  hiyo, licha ya…

Read More

Unyonyeshaji unavyookoa maisha ya watoto na kinamama

Dar es Salaam. Katika dunia inayokabiliwa na ongezeko la magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama kisukari, shinikizo la damu, saratani na magonjwa ya moyo, wataalamu wa afya wanasema suluhisho linaweza kuanza mapema zaidi kuliko wengi wanavyodhani katika hatua ya unyonyeshaji wa maziwa ya mama. Takwimu kutoka Jarida la Afya la Lancet zinaonyesha kuwa ingawa magonjwa yasiyo…

Read More

MFANYABIASHARA CHIPUKIZI PEDIMA AENDELEA KUNG’ARA KATIKA UBUNIFU NA UONGOZI TANZANIA

 Mfanyabiashara chipukizi, Peter Didas Mallya maarufu kama PEDIMA, ameendelea kuibua mvuto mkubwa katika tasnia ya biashara nchini kutokana na ukuaji wa kasi wa kampuni zake pamoja na mchango wake katika sekta za kifedha, teknolojia, afya na ajira kwa vijana. Kupitia kampuni zake Pedima Enterprises, Pedima Microfinance, Pacify Limited na LocalPesa Limited, PEDIMA amejiimarisha kama mmoja…

Read More

KIKAO CHA WADAU WA KODI NA TRA DODOMA CHAFANA, WAKUBALIANA KUSHIRIKIANA KULETA MAGEUZI YA UCHUMI WA MKOA PAMOJA.

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Dodoma imeendelea kujenga mazingira rafiki ya ushirikiano na wafanyabiashara baada ya kufanya mkutano muhimu na wadau wa kodi mnamo tarehe 26 Novemba 2025 katika Ofisi za TRA Mkoa wa Dodoma. Mkutano huo uliwakutanisha viongozi wa wafanyabiashara, wawakilishi wa makundi mbalimbali ya kibiashara na wataalam wa kodi kwa lengo…

Read More