Sharia ya unyonyeshaji inayoharamisha kuoana
Kunyonyesha ni jambo nyeti na lenye athari kubwa katika uhusiano baina ya watu. Hutengeneza hukumu (sharia) nyingi na mtu ataulizwa mbele ya Allah. Mwanamke Muislamu asimnyonyeshe mtoto wa mama mwingine bila dharura. Na ikibidi Inapasa ifanyike katika hali iliyo wazi na uwepo wa mashahidi, kadhalika ijulikane baina ya familia zote mbili (familia ya mama mzazi…