EACJ yatupilia mbali zuio mradi wa EACOP

Arusha. Mahakama ya Rufaa ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) imeitupili mbali rufaa iliyokuwa inapinga utekelezaji wa mradi wa Bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), kutokana na shauri hilo kuwasilishwa nje ya muda. Awali, EACJ ilitupilia mbali kesi iliyokuwa ikilenga kusitishwa kwa ujenzi wa mradi huo wenye thamani ya dola 4 bilioni, unaohusisha…

Read More

Mapya yaibuka mwanafunzi aliyejiua kisa kamari

Dodoma. Bakari Kabuga, baba mzazi wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Said Kabuga aliyefariki dunia baada ya kutumbukia katika kisima cha maji eneo chuo, ameeleza kile anachoamini kimesababisha kifo cha mtoto wake na siyo michezo ya kubeti kama ilivyoelezwa awali. Said Kabuga, mwanafunzi wa mwaka wa pili chuoni hapo alifariki dunia usiku wa…

Read More

Madereva wa Serikali walaumu mabosi uvunjaji sheria

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikiwaonya watumishi na wasimamizi wa sera wanaokiuka kanuni za usalama barabarani, baadhi ya madereva wake wameeleza chanzo cha changamoto ni shinikizo la kiutendaji kutoka kwa mabosi wao, huku Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) kikitoa msimamo. Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba jana Novemba 26, 2025 alitoa onyo kwa watumishi wa…

Read More

Tanzania yajipanga kuongoza uzalishaji dawa Afrika

Dar es Salaam. Tanzania imeingia katika hatua mpya ya mageuzi ya sekta ya dawa barani Afrika baada ya Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa kutangaza mpango kabambe wa kuifanya nchi kuwa kitovu cha uzalishaji wa bidhaa za afya barani Afrika. Katika hotuba yake aliyoitoa leo Novemba 27, 2025 kwenye mkutano wa mawaziri wa ngazi ya juu…

Read More

TANGA CEMENT YAWEKA HISTORIA KUWA KAMPUNI YA KWANZA KUUZA HISA STAHIKI ZENYE THAMANI KUBWA KULIKO ZOTE

OFISA Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana(CMSA), CPA. Nicodemus Mkama amesema Kampuni ya Saruji Tanga imeweka historia ya kuwa kampuni ya kwanza kwenye masoko ya mitaji ambayo imeuza hisa stahiki zenye thamani kubwa kuliko zote kuwahi kutolewa yaani shilingi bilioni 203.74 na kupata mafanikio ya asilimia 100. CPA.Mkama ameyasema hayo leo…

Read More

Chadema yaja na mambo matano kulikwamua Taifa

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimependekeza mambo matano kinachoamini yatalikwamua taifa kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025 yalihusisha vurugu na mauaji, ikiwemo kuitaka Serikali kutaja orodha kamili ya watu waliopoteza maisha au kujeruhiwa. Vilevile, chama hicho kimependekeza maofisa wa usalama waliohusika na mauaji ya raia kuchukuliwa hatua, ikiwamo kusimamishwa kazi mara…

Read More

Mgombea Bodi ya Ligi aachia ngazi TFF kwa lazima

MGOMBEA wa nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi (TPLB), Hosea Lugano amejiuzulu nafasi zote alizokuwa anazishikilia TFF. Hosea amefanya uamuzi huo muda mchache baada ya Kamati ya Uchaguzi ya TFF, kumuandikia barua ya kujiuzulu nafasi zake zote alizonazo ili kuepusha mgongano wa maslahi. “Leo nimepokea barua kutoka Kamati ya TFF ambayo jana walikaa kikao…

Read More