Mavunde agawa leseni kwa vikundi 21 Simanjiro

Simanjiro. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amekabidhi leseni kwa vikundi 21 vyenye wanachama 423 Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara, ikiwa ni hatua ya kuwawezesha vijana na wanawake walioko kwenye uchimbaji mdogo wa madini. Mavunde amekabidhi leseni hizo leo, Alhamisi Novemba 27, 2025, katika mji mdogo wa Mirerani wakati wa mkutano wake na wadau wa madini…

Read More

Misime: Tuepuke kuongeza chumvi kwenye kidonda

Dodoma. Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime, amewataka waandishi wa habari kutotoa taarifa zenye kuongeza maumivu kwa wananchi walioathiriwa na matukio, bali kuonyesha suluhu katika tukio husika. Akizungumza leo, Novemba 27, 2025, katika mafunzo ya uandishi wa habari wa amani yaliyofanyika jijini Dodoma, Misime ameeleza kuwa waandishi wa habari wasitoe taarifa ili kuwavutia…

Read More

Azam vaibu kama lote ikijiandaa kuivaa Wydad

KIKOSI cha Azam FC tayari kimeshaanza mazoezi ya kujifua na mechi ya kesho dhidi ya Wydad, huku mastaa wakionekana kuwa na morali ya kutosha. Mastaa hao waliopokelewa kwa vaibu na shangwe na mashabiki waliojitokeza nje ya Uwanja wa New Amaan Complex kabla ya kuanza mazoezi na hali ikiwa hiyo hiyo. Kwa kuwatazama tu usoni, utaona…

Read More

Watumiaji wa WhatsApp kuanza kutumia akaunti zaidi ya moja

Dar es Salaam. Mtandao wa WhatsApp umetangaza kuja na kipengele kipya cha kutumia zaidi ya akaunti moja kwenye aplikesheni hiyo ikiwa ni sehemu ya masasisho (updates) kuboresha mawasiliano. WhatsApp yenye watumiaji zaidi ya bilioni tatu katika zaidi ya nchi 180 duniani inatoa huduma ya kutuma ujumbe na kupiga simu rahisi, salama kote ulimwenguni. Mtandao huo…

Read More

Wadau wafurahia uwazi mnada wa madini kidijitali

Arusha. Wanunuzi wa madini ya vito kutoka maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi wamejitokeza kununua madini kwa njia ya mtandao ukiwa ni utaratibu mpya uliowekwa na Wizara ya Madini chini ya usimamizi wa Tume ya Madini,  kwa ajili ya kuongeza ufanisi na uwazi katika kufanya biashara hiyo hapa nchini. Ununuzi huo umekuja siku moja baada…

Read More

120 wanolewa programu malezi ya kambo kwa watoto

Dar es Salaam. Wakati matukio ya ukatili dhidi ya watoto yakizidi kuripotiwa kila kona, Shirika la SOS Children Village limeendelea kuwanoa wataalamu mbalimbali ili waweze kusaidia kupunguza matukio hayo katika jamii. Wataalamu hao wananolewa kupitia programu ya miezi sita inayolenga utoaji wa malezi mbadala au kambo yakiwa ni ufadhili wa  Shirika la Fair Start Denmark…

Read More