Watumishi wa umma wanaokiuka miiko, wazembe kukiona
Dodoma. Serikali imesema kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria, kanuni, taratibu na miiko ya kazi katika utumishi wa umma vikiwemo uzembe na usumbufu unaofanywa na baadhi ya watumishi bila sababu za msingi jambo linalotakiwa kuangaliwa. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi 27, 2025 na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Regina Qwaray alipokuwa akizungumza na…