SEKRETARIETI YA MAADILI MNAYO MAMLAKA YA KUFUATILIA UKIUKWAJI WA MAADILI YA VIONGOZI NCHINI, FANYENI HIVYO BILA KUONEA MTU”- Mhe. Ridhiwani Kikwete
Na Mwandishi wetu-Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete ameitaka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kuchunguza na kufuatilia kwa kina ukiukwaji wa maadili kwa Viongozi wa Umma ili kuwa na taifa lenye uadilifu kwa ustawi wa taifa. “Ninyi ndio wenye mamlaka ya…