Hukumu kesi ya Askofu Sepeku kutolewa Desemba 16

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi, imepanga Desemba 16, 2025 kutoa hukumu katika kesi ya ardhi iliyofunguliwa na mtoto wa Askofu John Sepeku, Bernardo Sepeku. Kesi hiyo ya ardhi namba 378/2023, imefunguliwa na Bernado Sepeku dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Askofu wa Dayosisi ya Dar es Salaam, Jackson…

Read More

Akiba Commercial Bank Plc Hosts Wakala Forum to Deepen Financial Literacy, Strengthen AML & KYC Compliance and Boost Agent Engagement

Akiba Commercial Bank Plc successfully hosted its Wakala Forum, bringing together Akiba Wakala agents from across Dar es Salaam and surrounding regions. The forum focused on deepening financial literacy, advancing financial inclusion, enhancing understanding of Anti-Money Laundering (AML) and Know Your Customer (KYC) compliance and strengthening product and service knowledge among agents. The platform also…

Read More

Waliofukuzwa kwa vyeti feki kupata Nida

Dar es Salaam. Baada ya kukwama kwa miaka kadhaa, Serikali imewapa nafasi waliofukuzwa utumishi wa umma kwa kutumia vyeti feki, kujisajili ili kupata vitambulisho vya Taifa. Awali, kundi hilo lilizuiwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) na kuwa vigumu kupata vitambulisho hivyo kutokana na wengi wao kutumia taarifa zisizo sahihi – vyeti vya kughushi…

Read More