TBS YAJIPANGA KUANDIKA HISTORIA MPYA SHIMMUTA
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZ TV Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetamba kuwa litaibuka kidedea katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA) 2025 ambayo yanaendelea mkoani Morogoro. TBS imedai kuwa maandalizi yao ya takribani mwaka mzima yamewaweka katika nafasi nzuri ya kufanya vizuri katika michezo yote wanayoshiriki,…