Mtanzania ashinda tuzo kubwa ya uhifadhi barani Afrika
Dar es Salaam. Mwanaharakati wa uhifadhi wa mazingira kutoka Tanzania, Rahima Njaidi, ametangazwa mshindi wa Tuzo ya Tusk ya Uhifadhi Barani Afrika, moja ya tuzo zinazoheshimika zaidi barani humo kwa kutambua uongozi wa kipekee na mchango mkubwa katika kulinda wanyamapori na mifumo ya ikolojia. Rahima, ambaye kitaaluma ni mwanasheria na Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa…