‘WATANZANIA MSIKUBALI KUYUMBISHWA, KUINGIZWA KATIKA MACHAFUKO
Mwandishi wetu,Michuzi TV WATANZANIA wameshauriwa wasikubali kuyumbishwa na wanaharakati ambao wenyewe wapo kwa ajili ya kuiona nchi ya Tanzania inavurugika na kukosa utulivu. Ushauri huo umetolewa na leo Novemba 30 ,2025 jijini Dar es salaam na wanaharakati huru ambao wamua kueleza hatua kwa hatua mbinu chafu ambazo zinatumiwa na baadhi ya wanaharakati ambao wamekuwa wakitafuta…