WADAU WA TEKNOLOJIA WA KUTOKA AFRIKA WAKUTANA ARUSHA KUJADILI MATUMIZI BORA YA AI KWA UCHUMI WA TAIFA
Na Pamela Mollel, Arusha. Mkutano wa kimataifa wa teknolojia ya akili bandia (AI) unaofanyika jijini Arusha umeendelea kuvuta wadau mbalimbali wa sekta ya TEHAMA, serikali na taasisi za huduma za umma, wote wakiwa na lengo la kujadili namna AI inaweza kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kuboresha utendaji wa taasisi za Afrika. Akizungumza kwenye mkutano huo,…