‘Kubeti’ kwatajwa chanzo kifo cha mwanafunzi UDOM

Dodoma. Wakati Jeshi la Polisi, likiendelea kuchunguza kifo cha Said Kabuga, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), aliyefariki dunia kwa kutumbukia kisimani, baadhi ya wenzake wameeleza awali alionekana mwenye mawazo akitaja fedha alizotumia kubeti. Kabuga, mwanafunzi wa mwaka wa pili chuoni hapo, pia anatajwa kwamba alikuwa mpole na mkimya, hakupenda kujichanganya na wenzake, na…

Read More

Wasauzi waiokoa Yanga na figisu Algeria

UMESIKIA kilichoikuta Yanga huko Algeria? Basi kama hujui ni kwamba JS Kabylie watakaovaana nao Ijumaa Novemba 28, 2025 wameanza vitimbi mapema, lakini kama zali Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ikawa mkombozi ikiwaokoa na figisu za kuzuiwa mabegi ya vifaa vya mazoezi. Yanga imeifuata JS Kabylie kwa ajili ya mechi ya Kundi B la Ligi ya…

Read More

Danadana uzinduzi Soko la Kariakoo zaendelea

Dar es Salaam. Wakati wafanyabiashara wakilalamikia danadana za uzinduzi wa Soko la Kariakoo, uongozi umekuja na ahadi mpya ukisema sasa litazinduliwa katikati ya Desemba, 2025. Mkwamo wa uzinduzi wa soko hilo ulianza tangu ukarabati ulipokamilika Mei, 2024 ukigharimu Sh28 bilioni. Ukarabati ulifanyika baada ya soko hilo kuungua moto mwaka 2021 na kuteketeza mali za wafanyabiashara….

Read More

Tanzania, Korea zapanda mbegu ya ushirikiano mpya wa kiuchumi

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Korea zimefungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kiuchumi kupitia Jukwaa la Biashara la Tanzania–Korea (Tanzania–Korea Business Forum) lililowakutanisha wadau wa uwekezaji na biashara wa serikali na sekta binafsi kutoka mataifa yote mawili. Akifungua jukwaa hilo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud…

Read More

Makamba atoa maagizo ukataji wa umeme

Dodoma. Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeagizwa kuwa makini katika kupanga ratiba za ukarabati wa miundombinu yake, kwa kuhakikisha kazi hizo zinafanyika nyakati ambazo hazihusiani moja kwa moja na uzalishaji wa umeme. Wito huo umetolewa leo, Jumatano Novemba 26, 2025, na Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, alipotembelea Kituo cha uzalishaji umeme Mtera kwa lengo…

Read More

MH WANU AZINDUA UGAWAJI WA VIFAA VYA MAFUNZO VETA

– Naibu Waziri Wanu Ameir azindua ugawaji wa vifaa vya Mafunzo ya Ubunifu, Ushonaji, Teknolojia ya Nguo na Umeme kwa Vyuo vya VETA 63 nchini Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imezindua ugawaji wa vifaa vya mafunzo ya ubunifu, ushonaji, teknolojia ya nguo na umeme…

Read More

RAIS MWINYI AONGOZA MAZISHI YA ALI AMEIR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza Viongozi na Wananchi mbalimbali katika Mazishi ya aliyekuwa Mwanasiasa Mkongwe Marehemu Ali Ameir Muhammed, aliyefariki usiku wa kuamkia leo tarehe 26 Novemba 2025. Marehemu Ali Ameir amefariki wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam. Mapema, Rais…

Read More

Veta yaagizwa kurejesha kozi za kilimo, ufugaji na ujasiriamali

Dodoma. Serikali imeitaka Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) kurejesha kozi mbalimbali ambazo awali ziliondolewa ikiwemo kilimo, ufugaji na ujasiriamali ili ziendane na mazingira na fursa za kiuchumi zilizopo katika maeneo husika, lengo likiwa kuwawezesha wananchi na vijana kujiajiri na kushiriki kikamilifu katika uchumi wa eneo hilo. Agizo hilo limetolewa leo, Novemba…

Read More