SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA YATAKIWA KUTUMIA MBINU ZA KISASA ZA UCHUNGUZI WA MALALAMIKO DHIDI YA VIONGOZI..
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imetakiwa kutumia mbinu za kisasa za uchunguzi ikiwa ni pamoja na kuanzisha programu za utafiti, kuchunguza na kutoa elimu ya uadilifu kwa umma ili kupunguza mmomonyoko wa maadili nchini. Wito huo umetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani…