Uchaguzi wa mbunge Siha kufanyika Desemba 30

Siha. Ikiwa zimebaki siku 33 kabla ya kufanyika uchaguzi wa mbunge Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro wananchi wametakiwa kujitokeza kupiga kura Desemba 30, mwaka huu katika uchaguzi huo. Uchaguzi huo ulisogezwa mbele na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kufuatia kifo cha aliyekuwa mgombea wa ubunge kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Daud Ntuyehabi kilichotokea…

Read More

Maabad aibuka shujaa Coastal ikitamba nyumbani

MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Maabad Maulid Maabad, ameibuka shujaa wa kikosi hicho kufuatia kufunga mabao mawili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Mbeya City. Mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo Jumatano Novemba 26, 2025 kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, wenyeji Coastal Union iliingia ikiwa haijapata ushindi katika mechi nne zilizopita tangu mara ya…

Read More

‘Mabadiliko ya dijiti ya pamoja yataweka njia ya ustawi, daraja hugawanya’ – maswala ya ulimwengu

Kikao cha jumla wakati wa Mkutano wa Maendeleo ya Ulimwenguni na Mtandao wa Maendeleo ya Ulimwenguni (GDN) huko Clermont-Ferrand, Ufaransa, mnamo Oktoba 28. Mikopo: Athar Parvaiz/IPS na Athar Parvaiz (Clermont-Ferrand, Ufaransa) Jumatano, Novemba 26, 2025 Huduma ya waandishi wa habari CLERMONT-FERRAND, Ufaransa, Novemba 26 (IPS)-Wiki baada ya mkutano wa kimataifa juu ya mabadiliko ya dijiti…

Read More

Mkude anahesabu siku tu Singida BS

BAADA ya kukaa nje ya uwanja karibu nusu msimu, kiungo wa zamani wa Simba na Yanga, Jonas Mkude anahesabu siku tu kwa sasa kwani anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha Singida Black Stars akiungana na Khalid Aucho waliyekipiga msimu uliopita wakiwa Jangwani. Ipo hivi. Mkude aliyependekezwa na kocha Miguel Gamond tangu mwanzoni  mwa msimu huu,…

Read More

Ratiba Ligi Bara yapanguliwa tena

IWAPO ulikuwa unadhani panga pangua ya ratiba ya Ligi Kuu Bara imemalizika baada ya wiki iliyopitwa kutangazwa mpya, basi pole yako, kwani Bodi ya Ligi (TPLB) imetangaza mabadiliko mengine kwa kuondoa mechi za Simba na Yanga. Simba na Yanga zinazotarajiwa kuendelea na mechi za makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika zikiwa ugenini, zilipangwa kurejea katika…

Read More

Paul Peter ataka rekodi mpya Bara

MSHAMBULIAJI wa JKT Tanzania, Paul Peter amesema anataka kuvunja rekodi binafsi alizonazo Ligi Kuu Bara kila nafasi atakayopewa. Nyota huyo anayeongoza orodha ya wafungaji (kabla ya mechi za jana) sambamba na Saleh Karabaka anayecheza naye JKT na Peter Lwasa wa Pamba Jiji kila mmoja akifunga matatu, msimu uliopita akiwa Dodoma Jiji aliyoitumikia kwa miaka mitatu…

Read More

JKT Queens yaanza upyaa hesabu WPL

WATETEZI wa Ligi Kuu Bara Wanawake (WPL), JKT Queens wanaingia kambini kesho Alhamisi kuanza kazi ya kutetea taji kwa kuvaana na Bunda Queens. WPL ilisimama kwa wiki mbili kupisha kalenda ya Fifa kwa mashindano ya Kombe la Dunia la Futsal yanayoendelea Ufilipino ambapo Tanzania inawania kombe hilo. JKT ilishindwa kuanza mechi za WPL kwa vile…

Read More

Faida Maradufu Ipo Mechi za UEFA Leo

UKIWA na Meridianbet ni rahisi sana kutengeneza pesa maradufu kwenye mechi zote zinazoendelea. Ligi ya mabingwa bado inaendelea na wakali hao wa ubashiri wapo tayari kuhakikisha unapata zaidi. Kivumbi kitaanza kutimka kule Cyprus ambapo Pafos FC baada ya kuondoka na ushindi mnono safari hii atakiwasha dhidi ya AS Monaco ya kule Ufaransa ambapo mpaka sasa…

Read More