TLS yaenda mahakamani kupinga amri ya IGP
Dar es Salaam. Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimefungua shauri la Kikatiba dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), kikipinga amri yake ya kuzuia watu kutoka nje (curfew) wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025. Kesi hiyo imefunguliwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo Dar es Salaam. Walalamikiwa wengine katika shauri hilo lililopokewa…