Tanzania yaja na mwarobaini kupunguza vifo vya watoto wachanga
Dar es Salaam. Tanzania imechukua hatua madhubuti za kupunguza vifo vya watoto wachanga kupitia ushirikiano kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP) unaohusisha Hospitali ya Aga Khan, Chuo cha Tiba cha Chuo Kikuu cha Aga Khan na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana. Ushirikiano huo, unaoungwa mkono na Chama cha Madaktari Bingwa wa Watoto…