FYATU MFYATUZI: Sasa natangaza rasmi ufalme wa Fyatuland

Kuanzia sasa, Fyatuland si jamhuri tena. Ni ufalme wa Fyatu Mfyatuaji awafyatuaye mafyatu atakavyo wasifyatuke wakamfyatua. Kuwafyatua vilivyo, juzi niliwafyatua mafyatu mkenge. Walinipigia kelele wanataka domoghasia aka demokrasia. Sikusita. Kwangu, hii ilikuwa fursa ya kuwafyatua vilivyo tena bila aibu wala huruma. Niliitisha uchaguzi ambao wapinzani wangu waliuita uchafuzi. Nilishangaa. Nani alimchafua nani wakati nilichofanya ni…

Read More

Ushabiki wa vifo Okt 29 unafunika ubinadamu

Watanzania walipoteza maisha katika vurugu za Oktoba 29, 2025, na baada yake. Hilo halibishaniwi. Kuhusu idadi, bado kuna shida. Maamlaka bado hazijatoa ripoti kamili. Pengine Tume ya Uchunguzi (Enquiry Commission), iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan itamaliza utata. Watanzania walipoteza mali zao. Wapo walioibiwa na kuvunjiwa vituo vyao vya kibiashara, kuna waliochomewa moto. Hili halibishaniwi….

Read More

Pantev apewa sharti zito Simba

BAADA ya Simba kupoteza mechi ya kwanza hatua ya makundi katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, unaambiwa ndani ya klabu hiyo moto umewaka, huku mabosi wa wekundu hao wakimpa sharti gumu kocha Dimitar Pantev wakitaka ashinde mechi ijayo, la sivyo kibarua kinaota nyasi. Simba ambayo inatumia Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo jijini Dar kwa…

Read More

NIKWAMBIE MAMA: Mwenye njaa hakosi hasira

Umasikini ni nyenzo kubwa kwenye migogoro ya watu. Unaweza kutokea mzozo wa kawaida, pengine watoto jirani wamepigana. Mama aliye masikini huweza kuwaza mbali kama “Au kwa sababu wao wana hela ndio wananipigia mwanangu?” Hivyo ugomvi wa matajiri wawili, au wa masikini dhidi ya masikini mwenzake unaweza kusuluhishwa kwa urahisi kuliko ugomvi baina ya tajiri na…

Read More

Mamia walitekwa kaskazini wakati mashambulio ya waasi yanaongezeka – maswala ya ulimwengu

Angalau watu 402, hasa watoto wa shule, wametekwa nyara katika majimbo manne katika mkoa wa kaskazini-kati-Niger, Kebbi, Kwara na Borno-tangu Novemba 17, Ofisi ya Haki za Binadamu ya UN, Ohchralisema Jumanne. Ni 88 tu ambao wameripotiwa kuachiliwa au kutoroka kutoka uhamishoni. Wito kwa haki “Tunashtushwa na upasuaji wa hivi karibuni katika kutekwa nyara kwa kaskazini…

Read More