WAZIRI NDEJEMBI AWATAKA PBPA KUHAKIKISHA KUNAKUWEPO NA AKIBA YA KUTOSHA YA MAFUTA NCHINI
……………. 📌Ahimiza uboreshaji wa Miundombinu ya kupokelea mafuta 📌Ahimiza kutokuwepo na ucheleweshaji kwenye uingiaji wa mafuta nchini. 📌Alekeza ushirikishwaji wa Wadau katika kuwekeza kwenye ujenzi wa miundombinu ya kuhifadhia mafuta WWaziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka Wakala wa Kuagiza Mafuta kwa Pamoja( PBPA) kuhakikisha kunakuwepo na akiba ya kutosha ya mafuta nchini lengo likiwa…