Makao makuu ya Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria yazinduliwa
Musoma. Makao makuu ya Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria ( LVBC) chini ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yamezinduliwa hatua ambayo imeelezwa kuwa pamoja na mambo mengine itaimarisha zaidi utafiti, uratibu na ubunifu kuhusu masuala ya kimazingira, kijamii na kiuchumi yanayoathiri Bonde la Ziwa Victoria. Ofisi hizo za LVBC imejengwa Jijini Kisumu nchini Kenya…