WAZIRI KIJAJI AIELEKEZA TANAPA KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA UTU KATIKA KUBORESHA USTAWI WA JAMII

Na. Philipo Hassan – Mikumi. Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) leo Novemba 25, 2025 ameielekeza TANAPA kuhakikisha inafanya kazi kwa kuzingatia utu ili kuboresha ustawi wa jamii. Dkt. Kijaji aliyasema hayo katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Hifadhi ya Taifa Mikumi. “Tuendeleeni kuzingatia kaulimbiu ya Mhe….

Read More

Mbeto:Rais Dk Mwinyi kutekeleza ahadi zote bila longolongo Zanzibar

 Na Mwandishi  Wetu,Zanzibar  Chama Cha Mapinduzi (CCM)  kimewatoa hofu  Wazanzibari kuwa  ahadi zote  za kisera  zilizoainishwa katika Ilani  ya Uchaguzi  ya CCM  2025-2030 zitatekelezwa na   Rais wa Zanzibar  Dk Hussein  Ali Mwinyi bila  longolongo.  Pia chama hicho  kimesisitiza kuwa, kitasimama kama Manyapara  ili kuhakikisha kila  ahadi  inatimizwa kwa wakati . Hayo yameelezwa leo Novemba 25,2025…

Read More