Pamba Jiji yavunja rekodi yake

PAMBA Jiji imevunja rekodi ya msimu uliopita ndani ya raundi saba za kwanza Ligi Kuu Bara kiasi cha kuwaibua wakongwe wa timu hiyo akiwemo Khalfan Ngassa. Pamba ambayo kwa sasa ni kinara Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 12, msimu uliopita ndani ya mizunguko saba ya kwanza ilikuwa haijaonja ushindi wa kwanza katika ligi. Msimu…

Read More

Dada wa Raila Odinga afariki dunia

Dar es Salaam. Familia ya aliyekuwa kinara wa upinzani na Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, hayati Raila Odinga imepata msiba mwingine baada ya dada wa kiongonzi huyo, Beryl Odinga, kufariki dunia.  Kwa kujibu wa vyombo vya habari vya Kenya ikiwemo Taifa Leo, kifo chake kimetangazwa na dada yao mdogo, Ruth Odinga, ambaye amesema Beryl…

Read More

Simulizi ya Dar City ikiishia njiani BAL

BAADA ya Johannesburg Giants ya Afrika Kusini kuiondoa Dar City City katika nusu fainali ya mashindano ya kikapu Road to BAL Elite 16, kocha wa timu hiyo, Florsheim Ngwenya amesema walicheza na timu nzuri iliyokuwa na wachezaji wenye  viwango bora Afrika. Pamoja na ushindi wao huo, amesema watu wengi hawakuipa nafasi timu yake kushinda akisema…

Read More

Ajeruhiwa mkono mgogoro wa ekari sita za urithi

Kishapu. Mgogoro wa ardhi katika Kijiji cha Mwajipugila, wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga, uliodumu kwa zaidi ya miaka saba umechukua sura mpya baada ya ndugu wa ukoo mmoja kumjeruhi mwingine mkono wakizozana kuhusu umiliki wa ekari sita za urithi. Akizungumza leo, Novemba 25, 2025, katika kikao cha usuluhishi kilichofanyika wilayani Kishapu, kikiongozwa na mkuu wa wilaya…

Read More

KMC, Mtibwa Ligi Kuu Bara ngoja tuone!

NA leo tena! Ndivyo unavyoweza kusema wakati KMC iliyotoka kupasuka nyumbani katika mechi iliyopita mbele ya maafande wa JKT Tanzania, leo itashuka tena uwanjani kuvaana na Mtibwa Sugar iliyopoteza pia pambano lililopita la Ligi Kuu dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa KMC. KMC inayonolewa na kocha Mbrazili, Marcio Maximo ikipoteza mechi sita mfululizo za Ligi…

Read More

Peter Lwasa: Bado najitafuta, tulieni!

LICHA ya kuwa na mabao matatu katika akaunti ya Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa Pamba Jiji, Peter Lwasa, amesema bado anaamini ana nafasi ya kuwa bora zaidi mbele ya lango kadri atakavyokuwa akipewa nafasi ya kucheza na kocha Francis Baraza. Nyota huyo wa zamani wa Kagera Sugar na Gor Mahia ya Kenya aliyefunga mabao yote…

Read More

Waangola wamchongonisha Pantev na mabosi Simba

KOCHA wa Petro Atletico ameondoka na furaha baada ya kuichapa Simba, lakini kuna kitu amesema lazima kitakoleza moto mbaya wa mwenzie Dimitar Pantev aliyepo Msimbazi. Petro iliifunga Simba kwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mechi yao ya ufunguzi ya Kundi D la Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni mara ya kwanza kwa…

Read More