PM Mwigulu Atoa Takwimu Zilizotikisa Taifa Baada ya Vurugu Nov. 29 – Video – Global Publishers
Last updated Nov 25, 2025 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kiwango cha uharibifu kilichotokea katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam hakikubaliki na hakioneshi taswira ya taifa linalotaka kusonga mbele. Akizungumza kuhusu tukio hilo, Waziri Mkuu amesema uharibifu huo umeathiri mali za serikali, sekta binafsi na maisha ya…