Wanaotumia mtandao wa X sasa kujulikana walipo
Dar es Salaam. Katika kudhibiti matumizi ya akaunti feki pamoja na wale wanaotoa taarifa za uongo mtandao wa X (zamani Twitter), umekuja na kipengele kipya kitakachoonyesha mahali alipo mtumiaji wa akaunti husika. Kupitia kipengele hicho cha ‘About this Account’ inatonesha nchi ambayo akaunti imefunguliwa, mtumiaji amebadili jina la akaunti mara ngapi, mtumiaji anatumia akaunti husika…