TCCIA: Wafanyabiashara jiandaeni ushindani wa kibiashara Afrika

Morogoro. Wafanyabiashara nchini wametakiwa kujiandaa na ushindani wa kibiashara, kufuatia hatua ya Serikali kushiriki mazungumzo ya kikanda yatakayowezesha bidhaa za Tanzania kuingia kwenye masoko ya Afrika bila ushuru kufikia mwaka 2030. Hatua hii inatarajiwa kufungua fursa kubwa za biashara, hususan kwa wanachama wa Chemba ya Wafanyabiashara, Wenye Viwanda na Wakulima Tanzania (TCCIA). Akizungumza wakati wa…

Read More

Fedha za sherehe za Uhuru kukarabati miundombinu

Dar es Salaam. Serikali imetangaza mwaka huu, hakutakuwa na sherehe za maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika Desemba 9, huku fedha zilizopangwa kwa shughuli hiyo, ikitaka zielekezwe kurekebisha miundombinu iliyoharibiwa na vurugu za Oktoba 29. Kauli hiyo inakuja wiki mbili kabla ya kufikia siku ya sherehe za maadhimisho ya Uhuru, ambayo kwa mwaka huu, Tanzania Bara…

Read More

Wajumbe wa Baraza na Bodi ya Wadhamini wa Jumuiya za Hifadhi za Wanyamapori wapigwa msasa

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Idara ya Wanyamapori imeendesha mafunzo maalumu ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Baraza na Bodi ya Wadhamini pamoja na VGS Akifungua mafunzo hayo, PGO, CR Pallage Kauzeni Afisa Wanyamapori Mkuu akimuwakilisha Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori amesema mafunzo hayo yanalenga kuongeza ufanisi katika shughuli za uhifadhi. Pia ameeleza nia ya…

Read More

Wazembe wafukuzwe, wasihamishwe | Mwananchi

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ametaka mfanyakazi yeyote wa umma atakayebainika kuwa mzembe au mla rushwa asihamishwe, bali afukuzwe kazi moja kwa moja. Mtendaji Mkuu huyo wa Serikali ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Novemba 24, 2025 alipozungumza baada ya ziara ya kutembelea miundombinu iliyoathiriwa na vurugu za Oktoba 29. Amesema hakuna sababu…

Read More