Fanya haya kurudi kwa mpenzi mliyetosana

Dar es Salaam. Ni ukweli usiopingika kwamba mara nyingi wapenzi waliopendana wanaweza kuachana, tena katika hali ngumu na ya maumivu sana. Katika kuachana huku wapenzi hawa wanaweza kuchukiana sana, kusemeana maneno mabaya sana, kutukanana na hata kuaibishana mbele ya wengine. Sio kitu cha kushangaza baada ya muda mrefu au hata muda mfupi ukasikia wapenzi hawa…

Read More

Nguvu ya msamaha kwenye ndoa, uhusiano

Ndoa ni safari ya kipekee ya maisha inayoambatana na changamoto, furaha, maumivu, mapambano, na mafanikio.  Ni muunganiko wa wawili wanaojaribu kuishi pamoja, licha ya tofauti zao za tabia, mitazamo, historia, na matarajio. Katika safari hii, makosa ni jambo lisiloepukika. Wakati mwingine kuna maneno yanayoumiza, matendo yanayovunja moyo, au hali zinazoweza kuvuruga uhusiano wa karibu uliokuwepo. Katika…

Read More

Mkutano Mkuu Simba tafrani tupu

WAKATI Mkutano Mkuu wa mwaka wa Simba ukiendelea leo Kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, wanachama wa klabu hiyo wameonekana wakiwa katika hali ya tafrani huku baadhi ya ajenda zikiendelea kusomwa ukumbini hapo. Mkutano huo ambao umeitishwa kwa mujibu wa Ibara ya 22 ya katiba ya Simba ya mwaka 2018 iliyofanyiwa marekebisho…

Read More

Neno moja linavyoweza kuvunja ndoa

Katika ulimwengu wa uhusiano, maneno yana uzito mkubwa kuliko tunavyodhani. Mara nyingi, si vitendo bali kauli zinazotamkwa kwa hasira, dharau au kejeli ndizo zinazochangia misukosuko kwenye ndoa nyingi. Kwa upande wa wataalamu wa saikolojia na wanandoa wenye uzoefu, neno moja tu likitamkwa mahali pabaya na kwa hisia hasi, linaweza kuacha jeraha lisilopona na hata kuisambaratisha…

Read More

MO apigiwa shangwe mkutano Simba 

WAKATI wanachama wa Simba wakisomewa ripoti ya mapato na matumizi, wameonyesha kukoshwa na rais wao wa heshima Mohammed Dewji ‘MO’ na namna anavyoipa fedha klabu hiyo. Mhasibu wa Simba Suleiman Kahumbu wakati akisoma ripoti ya mapato ya msimu uliopita amesema MO Dewji alichangia kiasi ha sh 4 Bilioni kwenye majeti yao ya mwaka ujao wa…

Read More

Mangungu abanwa mkutano mkuu Simba

Wakati ikisomwa ripoti ya mapato na matumizi ya mwaka uliopita, umeibuka mzozo baada ya hoja kumbana Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu. Baada ya kusomwa ripoti ya mwaka jana ya mapato na matumizi mwanachama Hussein Simba, akauliza juu ya uhalali wa ripoti hiyo hali ya kuwa haijapitishwa na mkaguzi wa nje wa masuala ya fedha. Aidha,…

Read More