Kanisa la Askofu Gwajima kufunguliwa

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza kufunguliwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima, huku akielekeza lipewe miezi sita ya uangalizi kuhusu kuzingatia miiko, masharti na sheria za uendeshwaji wake. Agizo hilo la Serikali, linakuja ikiwa zikiwa zimepita siku 175 tangu Juni 2, mwaka huu, tangu ilipotangaza kufuta usajili wa kanisa hilo kwa…

Read More

Baada ya kipigo, Sowah atuma ujumbe mzito Simba

WAKATI mashabiki wa Simba wakiendelea kusonya huko mtandaoni kutokana na matokeo ya kipigo cha bao 1-0 ilichopewa timu hiyo, straika wa Wekundu hao, Jonathan Sowah wamewatuliza mashabiki kwa kuwaambia: ‘Tumewasikia na mtafurahi mechi zijazo’. Simba ilikumbana kipigo hicho cha mechi ya ufunguzi wa Kundi D la Ligi ya Mabingwa Afrika kutoka kwa Petro Atletico ya…

Read More

Ongezeko la matukio ya ubakaji nchini na athari zake

Dar es Salaam. Katika kipindi cha miaka minne, Tanzania imeendelea kushuhudia mfululizo wa matukio ya ukatili wa kijinsia, huku ubakaji ukibaki kuwa moja ya uhalifu unaotikisa jamii za aina zote. Takwimu zinaonesha matukio ya ubakaji kwa mwaka 2021 yalikuwa 6,305 idadi iliyoongezeka hadi kufikia 8,541 mwaka 2024. Kwa mujibu wa wadau, ongezeko hilo halipaswi kutazamwa…

Read More

Yanga yaziachia msala Simba, Azam

KIKOSI cha Yanga kimeondoka nchini jana kwenda Algeria kuwahi pambano la pili la Kundi B la Ligi ya Mabingwa Afrika ikitoka kushinda dhidi ya AS FAR Rabat kwa bao 1-0, huku kocha wa kikosi hicho, Pedro Goncalves akifichua siri inayombeba atangu ajiunge na timu hiyo Oktoba 15. Ijumaa ya wiki hii ugenini Algeria, Yanga itavaana…

Read More

Mv Liemba kurudi kivingine, Ziwa Tanganyika

Kigoma. Ukarabati wa meli kongwe ya MV Liemba, ambayo ilisitisha safari zake mwaka 2018 kutokana na uchakavu wa mitambo, umefikia asilimia 42. Kazi za ukarabati huo, unaogharimu zaidi ya Dola za Marekani milioni 13 (zaidi ya Sh32 bilioni), zinatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 24. Akizungumza leo, Jumatatu, Novemba 24, 2025, Kaimu Meneja wa Kampuni ya…

Read More

Wadau waitwika Tume ya Rais ‘zigo’ la uchunguzi wa haya

Dar es Salaam. Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiizindua tume aliyoiunda kuchunguza yaliyofanyika wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, wadau wamependekeza maeneo mengine muhimu ambayo wangependa tume hiyo iyaangazie kwenye uchunguzi huo. Rais Samia aliunda tume hiyo Novemba 17, 2025 kwa ajili ya kuchunguza mambo yaliyosababisha vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi, huku akiwataka…

Read More