Polisi Wakamata Wahamiaji Haramu 14 Kwenye Gari la Abiria – Video – Global Publishers
Last updated Nov 24, 2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume cha sheria kwa kutumia magari mawili ya abiria. Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa, Novemba 23, 2025, wilayani Sengerema wakati akizungumza…